Winning entries could not be determined in this language pair.There were 2 entries submitted in this pair during the submission phase. Not enough entries were submitted for this pair to advance to the finals round, and it was therefore not possible to determine a winner.Competition in this pair is now closed. |
Michael Moisseff ni ma pua yenye iliyozowea ma harufu isiyojulikana. Alipo tengeneza manukato yanayo harufu ile wanaanga walio isikia wakati walikuwa ku mwezi. Anajiita ''mchonga harufu Nzuri''. Mtengenezaji wa manukato, Michael Moisseff, ma pua, ni wa kwanza ku unganisha harafu fulani: ile ya mwezi. Alijitegemea ku ma ushuda ya wanaanga. ''Kofia kichuani, na mavazi na ile mavawi ya yulu,na kwa ivi sasa hawa sikiye harufu chochote. halakini, watarudi kwenye moduli yao, kutosha ile kofia, na huko kwa kuondo kila kitu, harufu ya chumba imebadilika na ikanuka kama unga mweusi ulioteketezwa'' Anafunua. Michael Moisseff anafunua kisha siri yake za harufu za mwezi. ''Tuko kwenye madini, maanake makala ya mawe isivyo kuwa na kiberiti, na kisha matokayo ya kalsiamu. Harufu ni jambo, molekuli zinazozunguka mu hewa, zikaingia puani, kwenye sensor. Na humo makifuli ndogo, na tunapaswa fikiria kwamba hizi molekuli ndogo ni mafunguo ndogo. Alivyo eleza. Harufu ya mwezi inapatkana katika kijiji la anga kule Toulouse (Garonne ya juu). Lengo likiwa ''kuruhusu wageni uzoefu huo wa kipekee kama wanaanga waliweza kuishi kwenye mwezi'', Kulingana na Xavier Penot, uyu ni mpatanishi wa kisayansi katika jiji la anga. Uchunguzi wa china tayari umekaribia mwezi mnamo Juanuari 2019 wakati mipango ya mwezi wa Korea ya kusini na ile ya Japani inalenga mwisho wa 2020 na 2021. Marekani wao wanatayarisha kurudi ku mwezi ifikapo 2024. | Entry #30634 — Discuss 0 — Variant: Not specified
|
Michael Moisseeff ni pua iliyozoea harufu isiyojulikana. Aliunda manukato ambayo inarudisha tena harufu ambayo wanaanga waliweza kugundua walipokwenda kwa mwezi. Anajiita "sanamu mwenye harufu". Mchoraji wa manukato, Michaël Moisseeff, muundaji wa manukato, ndiye wa kwanza kuunda harufu tena ya kipekee: ile ya mwezi. Ali tegemea kwa hilomushuhuda ya wa wanaanga. "Wako na suti ya kupiga mbizi kichwani, na mavazi na juu yake tena mavazi, na kwa kweli hawana harufu. Kwa upande mwingine, wataingia kwenye moduli yao, wataondoa suti ya kupiga mbizi, na hapo walipo ondoa kila kitu, Harufu ya kibanda ika badilika na inatoa harufu kama unga mweusi ulioteketezwa, ”afichua. Kisha Michael Moisseeff aka onenyesha mafumbo ya harufu yake ya mwezi. "Tuko ndani ya madini, kwa hivyo kaboni iliyoharibiwa, halafu bidhaa ya kalsiamu hupunguka. Harufu ni dutu, molekuli ambazo huzunguka hewani, ambazo ziliingia kupitia puani, mahali ishara(sensor) inapatikana. Na katika hiyo -Hapa, kuna vifuli vidogo, na lazima kuzingatia ya kwamba molekuli hizi ndogo za harufu ni funguo ndogo, "anaelezea. Harufu ya mwezi inaweza kupatikana katika nafasi mji huko Toulouse (Haute-Garonne). Lengo ilikiwa ni "kumruhusu mgeni kuwa na uzoefu wa asili kama wanaanga wangeweza kuishi kwenye mwezi", kulingana na Xavier Penot, mpatanishi wa kisayansi huko nafasi mji. Uchunguzi wa Wachina tayari umewasili mnamo Januari 2019 wakati mipango ya mwandamo ya Korea Kusini na Japan zinalenga mwisho wa 2020 na 2021. Marekani inaandaa kurudi kwao kwenye ardhi ya mwezi ifikapo 2024. | Entry #31790 — Discuss 0 — Variant: Not specified
|